Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,016
Tatizo ni mwenyekiti wa chadema kigeugeu...anatangaza uchumba na UKAWA at the same time anataka kuolewa na EL. Hajui kuwa polygamy kwenye siasa haiwezekani
Aminia wazee wa malori.
Tatizo ni mwenyekiti wa chadema kigeugeu...anatangaza uchumba na UKAWA at the same time anataka kuolewa na EL. Hajui kuwa polygamy kwenye siasa haiwezekani
Kafulila angekuja m4c ningefurahi,japo sijui angegombea jimbo gani
Endelea kuishi kwa matumaini,na siku hazigandiMkuu umena kabisa hata huyo Mbatia jimbo la vunjo hapati maana wata gawana kura na Mrema halafu CCM itaibuka kidedea...
Chadema wamejaa ubinafsi mkubwa sana tena sana...yani Rais wanataka watoe wao na bado wanataka kila sehemu wasimamishe mgombea!
Kitu kingine wanacho shangaza ni kuwaibia wanachama pesa zao..Chadema wanajua fika majimbo watagawana na vyama vingine lakini wana wambia wanachama watangaze nia kila jimbo.
Duuuu,bado unaamini ktk uchawi karne ya 21?mwana act !umenitisha kidogoUmelogwa na alie kuloga ni kishakufa
Mwaka huu sijui watakimbilia wapi masikini
Naona umepumbazika......
Tupo pamoja mkuu. Umewashauri vema hao CUF na NCCRLizaboni,
..unasahau kwamba tangu 2010 cdm wamejitahidi sana kukipeleka chama chao kwa wananchi.
..kinachoendelea cuf-bara na nccr ndiyo hali waliyokuwa nayo cdm kabla Dr.Slaa hajabeba jukumu la kufanya siasa na kuitambulisha cdm mikoani na vijijini.
..wanachotakiwa kufanya cuf na nccr ni kuchagua viongozi ambao wana WITO na HAMASA ya kufanya kazi za siasa na kujenga chama. Prof.lipumba siyo mwanasiasa, ni mchumi zaidi. Anahitaji msaada kuipeleka cuf kwa wananchi.
..kuhusu ACT future Yao inategemea uwezo wa Zitto kukitambulisha chama kwa wananchi huku vijijini. Tatizo ninaloliona ni Kama watakuwa na resources za kufanya hivyo.