NCCR WAUKALIA KOONI UWANJA WA NDEGE MBEYA KUITWA J.KIKWETE
NCCR WAPINGA UWANJA KUPEWA JINA LA KIKWETE
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimepinga uamuzi wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya kutaka Uwanja wa Ndege wa Songwe upewe jina la Rais Jakaya Kikwete. NCCR pamoja na PPT Maendeleo kimependekeza kuwa uwanja huo uitwe Mbeya International Airport. Uamuzi wa kutaka uwanja huo uitwe jina la Kikwete ulipitishwa katika kikao cha kamati hiyo kilichoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Dk. Norman Sigalla kwa niaba ya Mkuu Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro. Wakizumngumza na Tanzania Daima Jumapili baada ya kikao hicho, Katibu wa NCCR-Mageuzi Wilaya ya Mbeya Mjini, George Mbojela alisema licha ya yeye kuwapo kwenye kikao hicho, alishtushwa na uamuzi huo kwani tayari kuna miradi kadhaa ya maendeleo iliyopewa jina la Rais Kikwete.
"Ni vyema wananchi wa Mbeya wangeshirikishwa kwenye kupendekeza jina la uwanja huo kwani wanaopaswa kupewa kipaumbele katika kupendekeza jina la uwanja huo ni wakazi wa Mbeya na sio wakuu wa wilaya ambao ni watu wa kupita tu," alisema katibu huyo wa NCCR-Mageuzi. Mwenyekiti wa PPT Maendeleo, Godfrey Devis aliungana na NCCR-Mageuzi kupinga hatua hiyo kwani inanyima fursa mkoa wao kujitangaza kimataifa. Ujenzi wa uwanja huo wa ndege wa Songwe ulianza kwenye uongozi wa Rais Benjamin Mkapa wakati huo Profesa Mark Mwandosya akiwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.
Source: Ngelesi K. (March 2013). NCCR wapinga uwanja kupewa jina la Kikwete. Retrieved form Tanzania Daima
JK kafanya mengi sana kwa nchi yetuTanzania Daima sasa ni gazeti rasmi la udaku...
What difference will it make? Ndege hazitatua na kuondoka? I agree. There are more important issues for discussion. What is in a name? Kama anaufungua yeye kwa nini usipewe jina lake? NCCR, jadilini mambo ya maana zaidi. Ukiitwa Kikwete au MBeya, bado utabaki Mbeya.Tuna mambo mengi ya msingi kama Taifa tunatakiwa kuyajadili kwa maendeleo ya Taifa letu na sio upuuzi kama huu.
JK kafanya mengi sana kwa nchi yetu
Ni lazima ziwepo kumbu kumbu zake za kudumu kama hizi.
Mie bvinafsi nilikuwa Chadema , lakini niliporudi home na kukuta lami mpaka mlangoni kwetu kijijini kalenga ilibidi nirudi CCM
SALUTE JK
RAIS WA WATU

mngekuwa makini kama unavyo jinasibu mbona tungekuwa mbali sana. watu wa ccm wameifikisha Nchi hapa tulipo. uwanja uitwe kikwete kwa kipi cha maana alicho wafanyia watanzania?Tuna mambo mengi ya msingi kama Taifa tunatakiwa kuyajadili kwa maendeleo ya Taifa letu na sio upuuzi kama huu.
JK kafanya mengi sana kwa nchi yetu
Ni lazima ziwepo kumbu kumbu zake za kudumu kama hizi.
Mie bvinafsi nilikuwa Chadema , lakini niliporudi home na kukuta lami mpaka mlangoni kwetu kijijini kalenga ilibidi nirudi CCM
SALUTE JK
RAIS WA WATU
Tanzania Daima sasa ni gazeti rasmi la udaku...

Tatizo sio CCM, tatizo ni Watanzania au labda niseme Waafrika, manake utafikiri ni kweli tumelaaniwa...tuache kujitia upofu!!! Na hakika hii nchi tutaendelea kuwa maskini maisha yetu yote kwavile bado hatutaki kujitazama kwa mapana yetu!! Sana sana naona CCM ni kama wakala tu umaskini wetu lakini tatizo la msingi ni sisi wenyewe.....!mngekuwa makini kama unavyo jinasibu mbona tungekuwa mbali sana. watu wa ccm wameifikisha Nchi hapa tulipo. uwanja uitwe kikwete kwa kipi cha maana alicho wafanyia watanzania?
Hakuna uwanja wa Thatcher,Churchill,Blair au Cameroun nchini UK.
Bora wageuita uwanja wa Mwakyusa,Mwalongo,Ulimboka au so if their wish.