NCCR Mageuzi ni tishio kwa Chadema na vyama vingine vya Siasa

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Ki mkakati, NCCR Mageuzi ni tishio kwa Chadema na vyama vingine vya Siasa. Kwa namna mienendo yao, mikakati na umakini wa zoezi wanalolifanya kwakweli linaogofya mno!

Kimsingi mbinu zao japo kwa wengine tunaona zi wazi lakini zilizo fichiki ni nyingi zaidi.

Ni suala la muda lakini hawa jamaa wanayo moja kichwani.
 
Chama ch Magu. Akitaka hata Hashim Rungwe awe KUB inawezekana. Katiba loopholes
 
Ki mkakati, NCCR Mageuzi ni tishio kwa Chadema na vyama vingine vya Siasa. Kwa namna mienendo yao, mikakati na umakini wa zoezi wanalolifanya kwakweli linaogofya mno!

Kimsingi mbinu zao japo kwa wengine tunaona zi wazi lakini zilizo fichiki ni nyingi zaidi.

Ni suala la muda lakini hawa jamaa wanayo moja kichwani.
hakuna ktu, wanategemewa kubebwa na Jiwe, short of that ni takataka
 
Ki mkakati, NCCR Mageuzi ni tishio kwa Chadema na vyama vingine vya Siasa. Kwa namna mienendo yao, mikakati na umakini wa zoezi wanalolifanya kwakweli linaogofya mno!

Kimsingi mbinu zao japo kwa wengine tunaona zi wazi lakini zilizo fichiki ni nyingi zaidi.

Ni suala la muda lakini hawa jamaa wanayo moja kichwani.
CDM itawasumbua sana ccm.
 
Back
Top Bottom