NCCR mageuzi, kuonesha wana beef na CHADEMA ni kukua DEMOKRASIA?

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
kwa kweli nimeshangazwa sana na yanayojiri sasa ktk anga za siasa nchini Tanzania

hivi NCCR kushupalia makosa ya CHADEMA na kutumia makosa hayo kunaijenga NCCR au ndio kuua upinzani pamoja na wao wenyewe?

nimejiuliza sana bila ya kupata majibu baada ya kuangalia kwenye TV na kumuona mwenyekiti wa NCCR akisema sasa anamtaka Zitto ajiunge nao ili walete demokrasia makini ?

toka mwanzo nnaamini CHADEMA ni chama dhaifu kama ilivyo kwa wapinzani wengine, lkn huku wanakoondeleA kwenda jee si sawa na kujiua wao wenyewe hivi kweli motion hii itawasaidia NCCR ?

nna wasi wasi kuwa uchaguzi ujao utakuwa ni msiba mkubwa sana kwa vyama hivi viwili

naona ile dhambi yao ya kuibagua CUF sasa imeanza kuwarudi
 
Back
Top Bottom