4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,604
- 13,530
Umenena Sana, nchi ngum Sana, japo sikubaliani na wajumbe walichokifanya na hoja zao zilivyoUsaliti ni laana , bado kuna makubwa yanawajia , Wasaliti wakubwa nyie ! Wakati Mbatia anapokelewa Mbeya na Chalamila ili kuhujumu Demokrasia kwa malipo ya Jiwe tuliona kwa macho yote, sasa haya ndiyo malipo yenyewe