NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

Yaani wewe ndio mbulula kabisa, Machali alipata kura ngapi dhidi ya mgombea wako wa CHADEMA. Ok, 1995 tulianguka sawa, 2010 CHADEMA mlianguka, tumelingana, sasa zamu yetu tena. WEWE unafanya siasa za upepo ndio maana unatumika kama pedi.
 
??????????????????????????????????????????????????????????????????????
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
NCCR MAGEUZI kilikuwa chama makini miaka 1995!

Sasa hivi kimebaki kama jibwa koko!

Utake usitake,huu ni upepo wa CHADEMA,ndiyo maana CCM wanashindwa kupata usingizi!
 

Mkuu kwa haka kapara kamoja katupu na laini hivi ndo mfikiriwe kupewa nchi??..Onyesheni uwezo wa kuongoza tokea chamani afu acha umma useme..!
 

Wala wenye akili timamu hawapati shida kuelewa lengo na dhamira ya huu uzi wako.
HUO NI SEHEMU YA MIKAKATI YA CCM KUENDLEA KUBAKI MADARAKANI, NYIE MNATUMIWA TU KUFANIKISHA LENGO HILO!
NIMEWASHTUKIA!
 
Kwani enisisiara ina wabunge wangapi hivi sasa?
 
BAHATI MBAYA SANA WANASIASA NI WALEWALE WA HAPA TZ.si wamalawi wala wanaigeria..!

NI kama kubadili mavazi tuu kubadili muonekano, ubongo ni uleule
 
:bange:Yaani kwa kuwa tu mwenyekiti wake ambaye ni mbunge wa kuteuliwa ameshupaa na mitaala ya Elimu basi chama chake kinaweza kuchukua dola? Thinking capacity ya watu wengine ni below zero. Jijengeni kwanza.
:behindsofa:
 

Kama ni "dolla" tu, mtashika sana mwaka huu..
 
Yaani wewe ndio mbulula kabisa, Machali alipata kura ngapi dhidi ya mgombea wako wa CHADEMA. Ok, 1995 tulianguka sawa, 2010 CHADEMA mlianguka, tumelingana, sasa zamu yetu tena. WEWE unafanya siasa za upepo ndio maana unatumika kama pedi.

MKa mtaji wa "hoja" nzito hivi lazima mtwae nchi
 

Mkuu mngewaedea wananchi moja kwa moja, humu kwenye mitandao nafasi zimejaaa mpaka mlangoni.
 

"tupo na mungu" copy and paste from m.c
 

mh! Ivi katika msafara wa hammer ,vits itakaa wapi vile?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…