Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.

eti Roma mcatholic anasema Pangani kunawachawi kuliko Kigoma?Sawa baba Clara Msalimie Kisandu mwambie I'd yake imepost.
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia kushika dolla 2015 kimejipanga upya katika kutetea UTU WA MTANZANIA, wakati mnalaumiana kuendeleza Udikteta na kuhisiana Ugaidi sisi tuko na Mungu maana tume vuta subira tupate kheri ya Watanzania.
Dolla ni kumiliki majeshi kama Polisi, mgambo,magereza,JWTZ na wewe.Dola ya Hela au?
Mbona hampendi kusema kama tuna wabunge mnakimbilia kura za Urais? KUga alikuwa 4 anawabunge wangapi?Labda kama kuna urais wa kuteuliwa na rais, huo mtaupata kwasababu ndo kilichobakia kwenu. Hivi Hashim Rungwe sijui Rangwe alipata kura ngapi vile?? nafikiri idadi ya kura zake ilikuwa kama zile za uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji. Acheni ndoto za kwenye jua kali
wivu wa kijinga.vipi ule muungano na magamba, ushakamilika? Au ndiyo mpo eda?