NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

Nilifikiri gazetj la maana kumbe ni KIPEPERUSHI kpeperushi chenyewe kinaitwa MKAKATI Oct 25 mikakati yenu yote itabuma wapuuzi nyie
 
Chama cha NCCR Mageuzi, kimeanza mkakati wa chini chini wa kuwashawishi wanachama na mashabiki wao kutopigia kura mgombea yeyote , aliyesimama kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Source: MKAKATI
View attachment 291153

Huu ni mpango mkakati wa CCM. Hautafanikiwa. Mkakati ni kagazeti ka nani?
 
DSC00727.jpg
 
hakuna haja ya kuwapigia wezi kura halafu wanawahadaa watanzania ati wanataka kufanya mabadiliko kitu ambacho ni uongo mtupu hongera kwa maamuzi sahihi maana tungeshangaa kuona mnashabikia ujinga
twende na muadilifu magufuli
 
hakuna haja ya kuwapigia wezi kura halafu wanawahadaa watanzania ati wanataka kufanya mabadiliko kitu ambacho ni uongo mtupu hongera kwa maamuzi sahihi maana tungeshangaa kuona mnashabikia ujinga
twende na muadilifu magufuli

Twende na katapila, jembe letu, panga letu,kila kona visiki na magugu vitatoka.
 
lowassa kaharibu maana nzima ya ukawa maana kama yeye ndo alikuwa kifua mbele kuipinga kwa mgongo wa wabunge wa ccm halafu leo tumpe nchi?
On my feet!!!!
 
ndani ya ukawa kuna mvurugano mkubwa sana baina ya viongozi na wanachama wao ishu inayopelekea kukwama katika mambo yao yaliyo mengi ama hakika siku ya kufa nyan miti yote huteleza kura yangu ya ndyo ni kwa magufuli
 
ukawa wakosa dira cdm ikikosolewa mbatia anajibu nccr wakibishana wenyewe kwa wenyewe mbowe anawa kejeli tuwaelewe vp viongozi hawa
 
Ni kweli aheri msipige maana ni sawa na chadema kama wamewaoa vile na mbatia kazidisha ukaskazini hata hajielewi kasahau kuwa naye anachama chake anazidi kukibeba chadema wakati chadema kimekumbatia fisadi papa ambaye alianzisha mtandao ndani ya ccm ulioitafuna ccm miaka mingi lakini leo kwa bahati mbaya wamempokea bila kujielewa na kujua kazi ya lowasa ccm sasa imepumua maana kiongozi wa mtandano ameondoka
 
[jfmp3]@nawapongeza sana kam wamefikia huko kwa sababu core ideals za ukawa zimevunjwa kwa maslahi ya wachumia tumbo wachache [/jfmp3]
 
Hizo vuvuzera tu pigeni weeeeee. Ila hakuna mwana mabadiliko yeyote mtakayembadilisha.

Tunachosubiri sasa nikukamilika kwamipango yakuwahamisha hao wapiga pushup waje ukawa kama mvua mwanzoni tu mwa October. Mtatafutana sana mwaka huu.
 
hhhahaha tatizo wakiwa bwana , kila siku vitu vyao vikienda upande utaskia ccm, kwani nyinyi ni mungu hamkosei?? na mwisho wenu mbaya saana mnapoelekea, mpaka mnatia huruma
 
HATUDANGANYIKI kamweeeeeeeeeee!!!!!!! Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza!!!!! Mkakati wa kipeperushi hiki, umeteleza pia!!!!!!! Lowassa ndiye Rais wetu, ije mvua, lije jua!!!!!!!!!
 
Yaani hawa jamaa yaani ukikaa ukaangalia post zao mpaka unabaki unacheka mwenyewe ccm bna
 
Back
Top Bottom