NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,870
Reaction score
5,755
Chama cha NCCR Mageuzi, kimeanza mkakati wa chini chini wa kuwashawishi wanachama na mashabiki wao kutopigia kura mgombea yeyote , aliyesimama kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Source: MKAKATI

DSC00727.jpg
 
Attachments

  • 20150925_192857.jpg
    20150925_192857.jpg
    131 KB · Views: 1,526
Hiki kipeperushi kimeanza lini? Isijekuwa baada ya uchaguzi kikapotea!!!!!!
 
gazeti la leo linaonekana jioni!!!??!!!..........ama linazalishwa saa 12 jioni??
 
Mikakati hiyo ilishashindwa hata kabla ya kuanza. Lowasa anatosha!
 
Chama cha NCCR Mageuzi, kimeanza mkakati wa chini chini wa kuwashawishi wanachama na mashabiki wao kutopigia kura mgombea yeyote , aliyesimama kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Source: MKAKATI
View attachment 291153

Mmekuwa Wasemaji wa NCCR
Mwaka huu lazima mtage
 
Too late u know, hakuna propaganda itakayobadirisha ari ya mabadiliko trust me
 
Hao sio NCCR labda ni mafisimu kwani sisi wanachama halisi tunajua tunataka nini .....
 
Kwa maana hiyo hata wagombea wao walisimamishwa kwa niaba ya ukawa hawatawachagua? Mav.i ya hondohondo.
 
Hata viongozi wote wa ukawa wakijitoa Bado tutafanya mabadiliko tuu... Mwaka huu CCM mnachinjwa huku mnaangaliwa usoni halafu wachinjaji wanatabasamu zito lililojaa mahaba ya kweli kwa Lowassa.
 
Back
Top Bottom