NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

Mimi sio Mwalimu mkuu,Ila nimepata msimamizi wa maudhui
hapana mzee wewe ni mwalimu mkuu utake ndio hivyo hutaki ndio hivyo..

sema nini headmaster naomba nisaidie kazi za msimamizi wa maudhui ni zipi ndugu yangu bugucha
 
Ndicho nilichomjibu; kuna watu wengi tu kutoka mtaani nawafahamu wamekwenda kwenye hayo mafunzo anayosema ni ya walimu wakuu pekee
Wameenda lini wakati hata usahili bado na majina hayajatoka halmashauri zote!
 
Wakuu naomba kufahamu muongozo unasemaje kuhusu namna wasimamizi wa maudhui watakavyopangiwa kazi. Je wanapangiwa kila mtaa au kata au utaratibu gani unatumika?
 
Wakuu naomba kufahamu muongozo unasemaje kuhusu namna wasimamizi wa maudhui watakavyopangiwa kazi. Je wanapangiwa kila mtaa au kata au utaratibu gani unatumika?
Kwani malipo yenyewe jumla Ths ngapi??!...
 
Wakuu naomba kufahamu muongozo unasemaje kuhusu namna wasimamizi wa maudhui watakavyopangiwa kazi. Je wanapangiwa kila mtaa au kata au utaratibu gani unatumika?
Inategemea na ukubwa wa sehemu jinsi ilivyo, kwa mfano Sensa ya mwaka 2012 ilikuwa kila kitongoji katika kijiji kinakuwa na karani wake, na vilevile kila kijiji kinakuwa na msimamizi wa maudhui/karani mkuu, ila vijiji vinatofautiana kwa wingi wa watu pamoja na makazi yao kwa hiyo unaweza kukuta vijiji vingine kunakuwa na wasimamizi wa maudhui zaidi ya mmoja, mnaweza kuwa wawili na kuendelea.
 
Back
Top Bottom