KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Wadau kama mnakukumbuka mpaka tarehe 9 May, NBS kwa kushirikiana na wadau wengine walikuwa wanaendesha Zoezi la maombi ya Ukarani, uafisa TEHAMA na Uafisa Maudhui ambao watashiriki Zoezi la Kuhesabisha Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022.
Kwenye barua ya Tangazo walisema wanahitaji watu 205000....
Sasa katika kile kinacholeta mshangao AZAM TV wameripoti taarifa ambayo inaonesha zoezi la kuwapa semina Makarani tayari limefanyika. Azam wamemnukuu Ofisi ya Takwimu ikitoa maelezo namna Sensa itafnyika kwa kutumia Vishikwambi (Tablets) na ofisi hiyo ikisisitiza kuwa makarani wa Sensa wamepatiaa mafunzo namna ya kutumia Vishikwambi.
Maswali yangu...
1. Semina au mafunzo kwa ajili ya makarani zimefanyika lini na wapi?
2. Majina ya walioteuliwa miongoni mwa walioomba yametolewa lini na NBS..?
3. Je, hili zoezi linaendeshwa kwa usiri au Ofisi ya Takwimu imeamua kuwaongopea Watanzania??
Naomba niweke kiambatanisho Kuthibitisha taarifaa hiii.....
Naomba kuwasilisha.....