Nbc yawa bank ya kiislamu

swala ni kwa nini islamic katika bank ya Taifa ?? ingekuwa vinginewe bank ingechomwa moto kudadeki....
 
acha kupotosha umma mkuu,nani kakwambia kuwa islamic banking ni special kwa waislaam!mi ni mkristo but nina hiyo akaunti,shame on u,ni account ambayo hela tunazo deposit zinapelekwa kweny clear investments na siyo kukopeshwa watu wenye business kama ,guest,bar,breweries n.k

maana yake nini sasa, kwani hela yako akikopeshwa muuza bia wewe unadhurika nini au utajuaje, au hizo pesa zinawekewa alama, upuuzi tu...., kwenye circulation kuna pesa mpaka za wauza mdudu.
 
maana yake nini sasa, kwani hela yako akikopeshwa muuza bia wewe unadhurika nini au utajuaje, au hizo pesa zinawekewa alama, upuuzi tu...., kwenye circulation kuna pesa mpaka za wauza mdudu.

Wapo watu ambao walikuwa hawapeleki pesa benki kuogopa pesa zao kupata riba au kutumika kukopesha kwa riba. Na hilo ndio la msingi.

Pia usitegemee kwamba kanisa/msikiti zitapenda pesa zao ziende kusaidia kampuni ya bia.
 
Christians...mbona hamjiamini?

Kuna tofauti kati ya lugha ya kiarabu na dini ya kiislam jamani

na isitoshe dini si ishu jamaniiii eh!

I love u Rejao.......me christian ila nakupenda sana naomba unioe bila conditions za imani!

with love mama d
 
kazi ya baba-mwanaAsha..

Na shule za sekondari zaidi ya 4,000 ni kazi yake pia,
Na zahanati zaidi ya 6,000 ni kazi yake pia,
Na Universties zaidi ya 6 ni kazi yake pia,
Na barabara zaidi ya kilomita 10,000 ni kazi yake pia,
Na umeme zaidi ya 3,000 MW ni kazi yake pia,
Na hoteli zenye sifa ya ubora duniani ni kazi yake pia
Na serikali iliyopata tuzo ya utawala bora ni kazi yake pia,
Na kitengo cha magonjwaa ya Moyo Muhimbili ni kazi yake pia,
Na kitengo cha kufisha figo za binadam Muhimbili ni kazi yake pia,
Na...
Na...
Na...

Ni nyingi sana kazi zake ambazo ni njema tu kwa Taifa hili. Kwa hilo inabidi mumsifu.
 
Mimi vijisenti vyangu siku nakaa navyo mwenyewe kwenye M pesa kwenda kupangishana mafoleni ya Bank kwa ajili ya kudeposit shilling laki moja nilishaonaga ni zaidi ya ujinga.
Ila hiyo Muslim Banking ndio style mpya kama unazihitaji hizi pesa za hawa wacheza bao na wanywa kahawa, nawapongeza NBC kwa ubunifu wa kura na vipofu.
 
inawezekana kabisa benki hii ina lengo zuri, ila kwa kuwa hawatupi elimu na ushiriki watu tunabaki kizani....
 
Na shule za sekondari zaidi ya 4,000 ni kazi yake pia,
Na zahanati zaidi ya 6,000 ni kazi yake pia,
Na Universties zaidi ya 6 ni kazi yake pia,
Na barabara zaidi ya kilomita 10,000 ni kazi yake pia,
Na umeme zaidi ya 3,000 MW ni kazi yake pia,

shule zaidi ya 4,000 zisizokuwa na waalimu, vitabu wala maabara....zilizospecialize kuzalisha division zero

zahanati zaidi ya 6,000 zisizokuwa na madawa, madaktari, wauguzi wala vipimo........

University zaidi ya 6 zisizokidhi viwango......ambapo mikopo kupata ni mgogoro.....

Barabara zaidi ya km 10,000 , zenye viwango duni kama barabara ya Kilwa.....

Umeme zaidi ya megawat 3,000 unaokatika kila baada ya masaa mawili bila mpangilio , ambao mikataba yake imegubikwa na ubinafsi..... Loh!!!!!!!
 
daah acheni mambo ya ajabu kwanini kila kitu kiangaliwe kwa udini? Mimi mkristo lakini sioni effect yoyote pale. Wale wako kibiashara na kama kwa kufanya hivyo wamevutia wateja ambao awali walikuwa hawaweki ela bank then well and good.
Haya mambo ya kila kitu kukiangalia kwa jicho la udini yatatupeleka kubaya.
Rwanda ilikuwa ukabila, congo madini, libya uhuru, tanzania kama haitakuwa siasa na chelea udini utatuletea machafuko.
Acheni chokochoko tutakuja kuana bure.
 
shule zaidi ya 4,000 zisizokuwa na waalimu, vitabu wala maabara....zilizospecialize kuzalisha division zero

zahanati zaidi ya 6,000 zisizokuwa na madawa, madaktari, wauguzi wala vipimo........

University zaidi ya 6 zisizokidhi viwango......ambapo mikopo kupata ni mgogoro.....

Barabara zaidi ya km 10,000 , zenye viwango duni kama barabara ya Kilwa.....

Umeme zaidi ya megawat 3,000 unaokatika kila baada ya masaa mawili bila mpangilio , ambao mikataba yake imegubikwa na ubinafsi..... Loh!!!!!!!

Mmh, kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom