Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Bado Mayele Amalize Kazi Maee
Wanafungwa Mtibwa Sugar Wanaoumia Wapo Dar es SalaamHaha Kila Mtu Ashinde Mechi Zake Na Ashangalie Magoli Yake
Andika uelewekeSasa dingi bado una msimamo huo huo
Mvua kwenye kiwanja kizuri haina madhara, labda kama unaamini red arrows ni wabovu kuliko mtibwaKwani Yule Red Arrow Ulimfunga Ngapi Kwenye Mvua [emoji16]
refa yuko kwenye temper kwasababu waliwekewa vikao wiki nzima, anajaribu kuchezesha kuwafurahisha wao tuKongole kwa refa
Sisi Kwa Sasa tunaiwakilisha nchi kimataifa, suala la Gap la points ni vitu vidogo tu kwetuKuna mtu tunaenda kumwacha point 8 hehe he...
Walijua mtibwa leo atakaza wapunguze gap bt naona leo mtibwa anaenda kufaaaaa
Mi nimeacha kuuangilia huu mpira tu pale nilipoona aliyechezewa rough ndio kapewa na kadi kabisaGoli la mkono wa Mungu kama alilofunga hayati Diego Armando Maradona dhidi ya Uingereza mwaka 1986 pale Mexico
Wanani hao walijua mtibwa atakaza?Kuna mtu tunaenda kumwacha point 8 hehe he...
Walijua mtibwa leo atakaza wapunguze gap bt naona leo mtibwa anaenda kufaaaaa
Pamoja na kwamba limekataliwa ila Azam wanafeli sana kwenye camera zao azioneshi tukio kwa ufasaha kwa asilimia mia tofauti na wafanyavyo supposed sports. Wanafanya replay inayoonesha tu kuwa mpira na mkono ulikuwa na uelekeo mmoja ila hawatamatishi kwa kuonesha mkono ukigusana na mpira.Mi nimeacha kuuangilia huu mpira tu pale nilipoona aliyechezewa rough ndio kapewa na kadi kabisa
Kumbe haikuishia hapo, hilo goli la mkono sijaliona ngoja nitaona highlight