NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Kwahiyo waliongeza dakika tano kisha mtibwa wakafungiwa miguu na mikono ili wao wasijepata goli? Dakika zinaongezwa kwa timu zote mbili. Vipi kama mtibwa wangepata goli? Ungesemaje?
Ingekuwa simba mnyama mkali ungesikia zingeitishwa press hadi na baraza la vijana la yanga
 
Back
Top Bottom