boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Mimi ni mteja mkubwa wa hii Benk tangu miaka kadhaa. Kitu ambacho wanakera National Bank of commerce ni huduma wanazotoa wako very slow.
Nipo hapa bank nimekuta wateja wawili wanahudumiwa, yaani nusu saa inakatika hivi hivyi, si leo tu, hawa Jamaa huruma zao, wanajisikia sana, yaani wanajivuta.