Nbc internet banking - tatizo

Nbc internet banking - tatizo

tzjamani

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
995
Reaction score
33
nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange.
Amkeni
 
nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange.
Amkeni

Fuatilia vizuri, sijui kwanini inakuwa hivyo. hata mimi ilikuwa hivyo baadae walirekebisha. Ninachoshangaa mbona nchi zingine hii huduma ni bure lakini hawa NBC inabidi ulipe elfu 50 unapojiunga.
 
Back
Top Bottom