NBC Bank Tanzania

NBC Bank Tanzania

queen monroe

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
86
Reaction score
35
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
 
Duh..pole sana kwakweli mana kwa jinsi uku mtaani hali ilivyo ngumu,we acha tu
 
Natafuta mke wa pili naona unafaa, tena napenda alietoka kwenye matatizo kama wewe
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

Karibu kundini but at least you have accumulated enough experience, utapata mpya hivi karibuni
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.pole mkuu ila usikikate tamaa

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
pole mkuu ila usikate tamaa maana maisha bado yapo kama sio hapo basi jua kunasehemu nyingine nzuri utapata we mwombe Mungu maana hakuna ashindwalo.
 
Unapenda aliyetoka kwenye matatizo ili uoe matatizo na upate matatizo square
Kuna mkuu alishasemaga NBC imeshafilisika Ni Bom tu linalosubiri kulipuka Naona ni kweli kwahiyo Msishangae sio ninyi tu mnapumulia Mashine Hata Bank yenyewe inapumulia Mashine
 
Kwani ww sio competent? Mbona unaogopa ivyo...
Km uliingia ki magumash basi jiandae kutoka

hakuna kitu cha magumash...nina post graduate yangu..cjui hata mtu hapa...niliomba kazi na nikaitwa kwa interview..ila mwaka jana walipunguza watu department flani...ambao wana kila kitu kwa kweli..ndio maana uoga unaingia...na bora wangepunguza kwa stail ya kuwafanyia interview upya...but nasikia wanakuja na majina yao tayar mknoni...kama haumo subiri barua yako..
 
Poleni sana, apply sehemu nyingine mapema ili usikae sana nyumbani kama itatokea mmepunguzwa.
CRDB na TPB naskia wametangaza kazi hivi karibuni.
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
siku hizi si mnahongwa, sasa kazi ya nini?
 
hakuna kitu cha magumash...nina post graduate yangu..cjui hata mtu hapa...niliomba kazi na nikaitwa kwa interview..ila mwaka jana walipunguza watu department flani...ambao wana kila kitu kwa kweli..ndio maana uoga unaingia...na bora wangepunguza kwa stail ya kuwafanyia interview upya...but nasikia wanakuja na majina yao tayar mknoni...kama haumo subiri barua yako..
Vipi binti, au wewe ndiye yule mwenye tabia mbaya sana wa customer care uliyenifokea juzi? Kama ni wewe, Mungu yuko karibu kujibu maombi yangu.
 
yan ulivyo busy na JF tena muda kazi itatumika moja ya vigezo vya kukupumzisha.
 
Back
Top Bottom