NBC bank sucks

Kwa nini usidhani kuwa ujumbe huu utakuwa umeulenga utawala wa juu wa NBC wenye kuongozwa na CEO Mzambia asiyejua neno hata moja la Kiswahili!!!

watu8nimekupenda buuuuure!
 
Last edited by a moderator:
Nilifungua akaunti huko; sikurudi hata kwenda uliza kama wananikumbuka. Nilisamehe 50 thou yangu kabisaaaa. Wengine mtasema najishaua, hapana. Hao makarani wao, ukiritimba wao, mwone naniii palee, mwone nanii palee, nikajikuta najiuliza, nimefuata nini hapa?
Sijawahi kurudi kuuliza hata kama kuna kadi ilitolewaga. They are just dying a natural death. RIP Nbc and your daughter NMB. Ukipita barabarani eg pale Moshi. Utawaonea huruma wateja. Foleni mpaka barabarani, jua la utosi, mvua ya mawe. Nyie watu wateja kwenu ni ombaomba au ndo waleta pesa?
Shukuruni sirikali hii sikivu iliyo waleteeni wateja kwa nguvu (mishahara). La sivyo, meneja angekuwa ndiye mtunza fedha na mhasibu ndiye mteja... Do something yu people before total closure.
 
Mm hii bank imenichoshaa.. nasubir acct yng ya mshahara ya bank flan iwe confirmed km watanisikia. Walinifungia acct nikaenda kuwauliza ohh inabid uhakiki acct yk nikafanya hivyo baada ya kutaka vitu kibao.. nikasubir kitu holla afta 3 weeks wananipigia simu eti nipeleke chet cha kuzaliwa,najiuliza hivi naomba ajira or?? Ni wasumbufu sanaaa
 

....mamaeeee!, they've been in the game since 19 kweusi and they still don't have Ebanking up to this time and age?!!
I'm glad am not part of them!
 
.........Bank zote bongo ni uzushii tu, nilianza na NBC ovyo, postal bank uozo kabisaa, CRDB nayo inajikongoja tu.

Zote ni hovyoo tu, mara ukienda ATM closed......mara ATM haina pesa. Sasa nipo standard charter na exim japo bado ni keroo tu.
 
Bora mie ninaeweka hela mchagoni, potelea mbali na uzamani wangu
 
Unapotaka banki statement huwa wanadai ulipie kama ni ya miezi mi3, 6 n.k: swali langu ni; endapo nina internet banking halafu nikajipatia hiyo huduma watanikata hela kunako a/c yangu?
 

Hahaah,,,,,,,,sijawahi kuwa mteja wa huko lakini kuna kipindi nilitaka kufungua akaunti. The way nilivyopokelewa na customer care wao niliahirisha zoezi lililonipeleka
 
Nimewahi kupeleka pesa NBC tawi la Arusha kuweka kwa akaunt ya alienituma. Matatizo niliyopata kwenye foleni niliapa sitokaa nifungue akaunti huko.

Hawana organisation hata kidogo. Uzuri wao hawajashiriki escrow wala EPA...
 
Hakuna benki yenye uafadhali, hata CRDB wanaelekea hukohuko

Uzuri wa CRDB huwa wanajitahidi sana kutatua matatizo. Mfano ile foleni pale Azikiwe eventually wakaja na utatuzi ambao ni endelevu.
 
Stanbic na mkombozi ndio habari ya mujini... Hata mm nakubali
 
CRDB na kwenyewe yale yale, mimi ku-update password tu ilichukua zaidi ya mwezi, ikabidi niwe napanga foleni. Halafu nilijua ndo benki bora, hapo ndipo nikagundua kila kitu Bongo miyeyusho.

Mkoa gani Mkuu?
 
itabidi tuchimbe mashimo vyumbani kwetu tutunze hizo pesa manake naona hapo kutakuwa ni salama zaidi
 


Ngumu kumeza, naona umeamua kuongea kinyumbani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…