Habarini ya Muda huu,
Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care.
Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia E-Mail kwa email address yao ya info@nbaa.go.tz hawazijibu.
Kwa sasa nipo Mpanda - Katavi nimeshatuma E-Mails na BARUA kwa anuani yao ya sanduku lao la Barua hawajajibu hadi leo.
Sasa sijui changamoto ni Nini? Na enrollment ya kujiunga na masomo ya NBAA inakaribia mwezi ujao wa Julai tarehe 14 Julai 2025.
Sasa sijui wanapenda kutuona tunasafiri kwenda Dar es Salaam kwa gharama ya si chini ya TZS 300,000/= (NAULI KWENDA NA KURUDI PAMOJA NA MALAZI GUEST AU LODGE) kufuatilia hayo majibu ya BARUA na E-Mails wakati ulimwengu wa Sasa imebadilika, Taasisi nyingi Sasa hivi wanatumia APP za Android na APPLE lakini Hawa Ndugu zangu hawataki kubadilika kabisa.
Sasa sijui tunafanyeje hapo, customer care yenu ni mbovu Sana. BADILIKENI jibuni E-MAILS na BARUA Mnazotumiwa na simu mkipigiwa tunaomba muweze kuzipokea.
Nawasilisha