Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Head coach Doc Rivers of the Boston Celtics celebrates after the Celtics won 96-84 against the Orlando Magic in Game Six of the Eastern Conference Finals
BTW, nafeel sorry kwa Superman, he is the Antichrist kwa timu pinzani anastahili kandoo walau kamoja kwa troubles anazopata ktk maisha yake ya basketball. Angecheza timu moja na Le Bron au ahamie Lakers. lol
![]()
: Rajon Rondo(notes) #9 of the Boston Celtics walks off the court after the Celtics own 96-84 against the Orlando Magic in Game Six
lol naona wote tuliwaza kitu kimoja lool.Let's go SUNS!
lol naona wote tuliwaza kitu kimoja lool.
What do you know....lol!
jina lisi kudanganye hili wewe lol. mpaka NHL nipo huko lol
Braza mbona unawatisha washabiki wa SUNS, hao Lakers wangekuwa wazuri kihivyo si wangekuwa washamaliza mambo, Kobe na Derick wakichoke tu ngoma inachukuliwa na SUNS.Watu inaonekana hamjasoma post ya kwanza kabisa hapo juu, mnashabikia SUNS eeh? Mmefulia..lol
ha ha ha mkuu mie timu yangu wala playoffs haijafika kinachonifanya nishangilie SUNS ni kwavile ni hater wa lakers.i have nothing to loose.Watu inaonekana hamjasoma post ya kwanza kabisa hapo juu, mnashabikia SUNS eeh? Mmefulia..lol
Watu inaonekana hamjasoma post ya kwanza kabisa hapo juu, mnashabikia SUNS eeh? Mmefulia..lol