Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
t was not abt being poor kwa both teams bro....lakers had jus to defend their lead so for them u cant say they were havin a bad qtr..if magic wangebring game juu, trust me lakers wasingepumzika vile!
game 1 z over but i bliv hii series ni ndefu mno t wont jus end at game 4 or 5
Mazee nilivoona ni kwamba both teams were sloppy in passing, holding the ball and shooting, na sio kwamba LAL walikuwa wana-defend. Kwenye last 2-3 mins timu zote mbili zime-score many points nadhani kuliko kwenye dakika za mwanzo zote zilizotangulia ktk Q4.
All in all, Magic wamenidissappoint sana. Turkoglu zii, Pietrus zii (huyu ameshindwa kumzuia Kobe kabisa..), Howard zii, na huyu Nelson ndio kabisaaa. Magic they have to improve on their defense. Shooting yao leo ilikuwa very poor, and Kobe alisha-sense kuwa leo ni siku yake, hivyo akaanza mapema biashara ingawa wengine nao wali-raise steki japo si kihivyo. LAL wamedefend vizuri na kuchukua chances walizopata.
Nways tusubirie G2 labda na G3 kwenye home court ya Magic tupime uelekeo.
Cheers.