NBA 2020 / 2021 special thread

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
39,265
2,000
Kutokana na janga la covid kuendelea kusumbua sekta mbalimbali hata mwaka huu kwa wapenzi wa NBA mechi zitakuwa chache kulinganisha na misimu iliyopita
Tupeane news and updates kwa msibu huu ambao ulianza mwishoni mwa mwaka 2020

Play-in-Tournament-Explainer-16x9-v2-4.jpg
 

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,747
2,000
Aaaaaah Nba Hatari, Houston Rockets Kafa Mbele Ya Memphis Grizzlies, Raps Nao Wamepigwa Pia ,
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,747
2,000
Hii season nabashiri final play offs kuwakutanisha Utah Jazz na Brooklyn Nets.
Teams ranked 7-10 will participate in the NBA Play-In Tournament after the regular season (May 18-21) to secure the final two spots in the Playoffs for each conference.
20210402_074901.jpg
20210402_074700.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom