Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
I'm optimistic...Naam, nimesoma Frank Matrisciano na Milt Newton walivyojitolea kumsaidia...swali ni je hiyo nidhamu ataiweza? Je kuna chochote alichojifunza kwa muda aliokaa nje ya NBA. Kama kweli ameamua namtakia kila la heri lakini kama ni ukata ndio unamtuma hatafika mbali.