NBA 2016/2017 Season Special Thread

Main Bitch - Warriors

Side Chick - Blazers

Naona msimu huu troll za 3 - 1 zitatukoma

CC: Tyta Raimundo King Shaat Alegria do povo

Unakumbuka ligi iliyoisha mlivyokuwa mnatukumbusha jinsi mlivyochukulia ushindi kwa Cavs? Halafu eti game ya regular season Curry anasema eti locker rooms bado zinanukia shampeni.

Ngoja vijana mwaka huu nao wakainuse shampeni ugenini.

Kama kawaida, naona Mag3 na Nyani Ngabu wameanzia walipoishia.
 
Ha ha ha, uzi umeanza kwa spidi sana, utasababisha watu waukimbie,

Tuliwahi kuambiwa humu eti Curry hakabiki, Curry ni best 5 all time great, ni the best PG ever etc etc!

Ngoja tuone baada ya kuunganisha timu mbili pamoja nini wanakuja kufanya.
 
Ila mkuu Curry huyo huyo ndiye kapewa award na NBA Players ya Most Difficult to GUARD kwa miaka miwili mfululizo... Sio wachambuzi, ni NBA Players ndio wamempa hiyo.. Mistake zinatokea, unlike us hatuwezi tafuta sababu za kwanini tuliblow the lead, ila nyie msimu ule mlitafuta sababu kibao ambazo hata sisi tungeweza kuzitafuta kwenye game 5, 6 and 7.

Ila hizo trolls za 3-1 aisee mziache bana tusije chapana ngumi, watu tulishazisahau teh teh teh.. Aisee ile comeback ilinifanya mwezi nzima nisilale vizuri. But now, I can live with it.
 
Mkuu ushabiki ni pamoja na kuzomeana, hatulipwi kitu kushabikia hizi timu ila furaha ya moyo tu, na furaha hii inakuja kwa kumzomea mpinzani wako aliyeshindwa.

Kuhusu sisi kuleta sababu last time ni logical, na tumejustify. Najua mlikuwa mnasubiri mtufunge ili mtukumbushe kwamba hata mkwa ule mlitushinda kihalali.
 
Sasa na sisi tukianza kutafuta sababu patakalika hapa... 2015/16 is over lakini naona uzi huu utaongelea finals za 2015/16 na tusijadili yanayojiri..

Si unaona hata ligi zimeanza teh teh teh...
 
Ukiona hivyo ujue watu walikatizwa kabla ya kumaliza ya moyoni, ndo maana sasa wanamalizia malizia, nyie mlikimbia hatukuwaona sasa inabidi tumalizie kwanza kuzomea ndo tuendelee na ligi.
 
Hakuna aliyekimbia teh teh teh... Mbona tulikuwa wote mpaka dakika ya mwisho
 
We are at it again....Lets have some fun...Can't wait for the tip off......

....That moment when an NBA Forum is turned into A Golden State Warriors Forum. :D:D...Huwezi kuyaepuka maji,usipoyaoga,usipoyanywa tu........
Uzi ulianzishwa vizuri kabisa ila cha ajabu umeshageuka GSW Forum.. Watu hata timu zao hawaongelei tena..

Wapi Hawks?? wapi Spurs??
 
Ha ha ha, uzi umeanza kwa spidi sana, utasababisha watu waukimbie,

Tuliwahi kuambiwa humu eti Curry hakabiki, Curry ni best 5 all time great, ni the best PG ever etc etc!

Ngoja tuone baada ya kuunganisha timu mbili pamoja nini wanakuja kufanya.

stephen-curry-in-the-regular-season-and-first-3-rounds-3369469.png

You call her Stephanie....I call her Headphanieeeeee:D:D:D.

Haya kwa sasa imetosha. Ngoja nijikite kule kwa akina Dak Prescott na Carson Wentz.

I know I'm the bete noire here...:).

Ila uongo mbaya...ile comeback 3-1 ni bonge moja la record kushinda hata ile ya 73-9 na kuambulia patupu.

Deuces....
 
3 - 1, halafu Klay alianza kumtrash LBJ eti analia lia, kilichotokea nadhani atajifunza kuziba mdomo.

Mke wa Curry nadhani mwaka huu hataenda Cavs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom