Hapana, mi wala si shabiki wa CAVS.
Ni kwamba tu nyie wanazi wa GS mlizidisha mno ngebe.
Mlitamba sana na rekodi zenu mlizozivunja na kuziweka.
Na mliamini kabisa kuwa mtaubeba ubingwa hususan baada ya kuwa 3-1 mbele.
Sasa baada kulishwa crow na LeBron, kwa nini wengine tusifurahie?
Mlipewa kichapo kitakatifu na mkanyamazishwa vizuri mno.
Nilifurahi mnoooooooo kwa kichapo mlichopewa
Na hiyo furaha bado haijaisha na itachukua muda mrefu sana kuisha.
Pia, kichapo mlichopewa na CAVS kinathibitisha kuwa hata 2015 kama wale all stars wawili wangekuwepo msingeshinda ile series nyinyi.