Nazipenda Thread Zangu

Nazipenda Thread Zangu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,663
Reaction score
167,596
Nikiwa na msongo wa mawazo, nikiwa na sononi huwa nakimbilia JF, nazisoma weee, shida zote za dunia huzisahau na kujiona niko peponi (sio kwenye pepo punda ila kule tutakako enda leo saa 11 jioni baragumu ikipigwa).
Je wewe thread zako zinakupa raha?
 
Baragumu zipo saba, sasa ya kwanza itakuwa ni ipi Bujibuji?
 
Lazima ukipende kitu chako, usipokipenda nani atakipenda?
 
Ajabu, wengine wakipost hata hawarudi kuangalia japo ku-edit typology.
 
baragumu linalia leo saa 11 jioni maana yake nini au ndiyo mwisho wa dunia ..

tujuze mkuu
 
mi mwenyewe thread zako zinapa raha sana, nazipenda big up bujibuji
 
Back
Top Bottom