Sawa moto ni ule ule lakini utakuwa Advanced.Mkuu usiwe na shaka,ni moto tu ule ule hawezi badilisha[emoji23] [emoji23]
Kkuna wanawake hawana watu wa kuwaita au kuwasemesha so mnawaacha mnahamia kwa midoli kweli kiyama kipo karibu
Utakapo jua kua akizeeki na wewe una zeeka ndo utajua kitakuchukuliaje nafasi
Wanaume unawajua au unawasikia? Ni viumbe wasiotabirika, wanapenda kujaribu Kila kituNimejifurahia sijashtuka.. kwa kuwa nakiona kama kitu ambacho najiamini asilimia 100 hakiwezi kunichukulia nafasi yangu.. kamwe.
kwenye Hilo Box Anaonekana kama marehemu vile
Ndo tunaanza kukuna maana wapinzani wameongezekaKwa niaba ya wanaume nauliza vipi hiyo 'NAZI' mmeshamaliza kuikunaa maana umesema mnayo hukoo [emoji3][emoji3]
Inaweza kukatika ila kujisafisha haiwezihii midol inaweza kukatika,na vipi kuhusu kujisafisha baada ya shoo au ndio kujiongezea mzigo geto
DuhKatitesa na kututisha sana shetani sasa ni zamu yake kushika mdomo wazi na kumuomba mungu amnusuru na wanadamu kama ss tulivyo kua tunamuomba mungu atunusuru na shetani
Sio ndogoYaani wanawake wenyewe mko wengi habari mmeletewa mshindani mwingine,kazi mnayo!
Mkuu nikitulia ntaketa thread why kubamia existHivi mkuu zamani vibamia havikuwepo au siku hizi mashimo yamezidi barabarani.?
Wee endelea kuniringia manake utaoza nayo shauri yako.Habr njema kwa madomo zege
Mkuu changamsha genge hiimmmm aisee umejishusha kichizi kupigania nafasi na mdoli,
Akili za wanaume mnazijua wenyewe.Hamna lolote....
Mwanamke unayehofia mdoli utakuwa ulishajikana kama binadamu...
Kiasi kwamba hata mdoli unachukua nafasi yako.
HAMNA KITU HAPO..
UCHAFU MTUPUUU.....
Umewaza mbalihabari njema, maambukizi ya HIV yatapungua