Nikipindi cha mvua hiki hakuna mahali unaweza ukipata kwa 300 au 400Ilala sokoni alfajiri
Nazi 300,400,500,600
Za mafungu zipo pia
Nikipindi cha mvua hiki hakuna mahali unaweza ukipata kwa 300 au 400
Ilala sokoni alfajiri
Nazi 300,400,500,600
Za mafungu zipo pia
Nategemea ni sahihi. Hata sterio temeke
Nimfanya biashara, nazielewa vizur timing zakeSawa
Hope wewe ni dalali Ilala
madam nmeenda ilala lakn nmekuta bei ya chini 600 ,, kuna muuzaj yyte unaeza kuwa unamfaham anauza kwa bei za 300?