Nazi kwa bei ya jumla zinapatakana katika soko gani hapa Dar?

_ID

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
5,400
7,376
Habari jamani

Naomba kujua kwa hapa Dar nazi kwa bei ya jumla zinapatkana katika soko gani?

Nahitaji kununua nazi nyingi kwa ajili ya kuuza.
 
na kwa anaejua aseme Ni tsh
h ngapi ili niangalie fursa
 
Ilala sokoni alfajiri
Nazi 300,400,500,600

Za mafungu zipo pia
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ilala sokoni alfajiri
Nazi 300,400,500,600

Za mafungu zipo pia
madam nmeenda ilala lakn nmekuta bei ya chini 600 ,, kuna muuzaj yyte unaeza kuwa unamfaham anauza kwa bei za 300?
 
madam nmeenda ilala lakn nmekuta bei ya chini 600 ,, kuna muuzaj yyte unaeza kuwa unamfaham anauza kwa bei za 300?

Ulienda saa ngap?

Pia chanika kuna watu wanaangua kule ukienda unaweza kupata kwa bei poa

Subiri kajua katoke uangalie upepo,
Jana nimeuliza nikaambiwa hakukuwa na mazao mengi sokoni gari zinaogopa kukwama maporini
 
sawa sawa nmekupata

Back
Top Bottom