Nazi kwa bei ya jumla zinapatakana katika soko gani hapa Dar?

King999

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Messages
334
Points
250

King999

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2019
334 250
habari jaman.....naomba kujua et kwa hapa dar nazi kwa bei ya jumla znapatkana katika soko gan.....nahtaji kununua nazi nyingi kwa ajili ya kuuza.
 

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
17,510
Points
2,000

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
17,510 2,000
madam nmeenda ilala lakn nmekuta bei ya chini 600 ,, kuna muuzaj yyte unaeza kuwa unamfaham anauza kwa bei za 300?
Ulienda saa ngap?

Pia chanika kuna watu wanaangua kule ukienda unaweza kupata kwa bei poa

Subiri kajua katoke uangalie upepo,
Jana nimeuliza nikaambiwa hakukuwa na mazao mengi sokoni gari zinaogopa kukwama maporini
 

Forum statistics

Threads 1,344,895
Members 516,074
Posts 32,838,899
Top