Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Hii itakuwa poa sana wafanye haraka
Ila sijajua wao watapiga vipi faida, hilo sijalifikiria wale hua hawafanyi biashara isiyo na faidanzuri hii lakini , lakini kama wamefikia kuweka tigo nivushe au songesha wanatuelewa vizuri watz
Mbona nimeacha pombe karibu mwezi wa nne sasa waifuuUsipolewa unakuwa mtu kweli,..
Faida wataipata tu.. Ni vile tu mfumo utapangwa, wanaweza fanya kama benki tu ukawa unalipia kiasi fulani cha Pesa kulingana na muda uliotunza pesa zako.Ila sijajua wao watapiga vipi faida,hilo sijalifikiria wale hua hawafanyi biashara isiyo na faida
Faida inaweza patikana kwa wao kuitoa pesa na kuiweka fixed account kwenye mabenki na hata kuwakopesha watu kupitia mabenki.Ila sijajua wao watapiga vipi faida,hilo sijalifikiria wale hua hawafanyi biashara isiyo na faida
M pawa ile unatoa pesa dk yoyote...pesa zikiwa m pewa unaongeza bia tu uhakika wa kulipa upooWazo zuri. Voda wana M-pawa sio ndio ni kitu kama hicho?
Apiaa...!? lol ππMbona nimeacha pombe karibu mwezi wa nne sasa waifuu
Aaah kwel sijalewa mda mrefu sikukuu hii nipe location tuApiaa...!? lol ππ
Uje home tuu tuangalie horror movies...π€Aaah kwel sijalewa mda mrefu sikukuu hii nipe location tu
Hahhaha sijui kama kutakua na happy endingUje home tuu tuangalie horror movies...π€