Wakati wa jioni nenda kacheze mpira inasaidia kuondoa stress na kukuweka sawa.


Kumbe hii inaweza kuwa sababu pia...Na hii inaweza kuwa sababu kwani tabia ya kujichua na kuangalia pornography hupoteza uwezo wa mtu kujiamini na kufikia hatua ya kujikataa sababu pia ni mlango wa roho chafu kuingia katika maisha ya mtu pamoja na mikosi ya kutosha na unaweza kujikuta unaoa au unaolewa na roho hizo chafu na katika suala la uzalishaji unakuwa mvivu sana kwani hata mwili na akili vinakuwa vinachoka. Kama una tabia hizo hapo juu kuna uwezekano hata utendaji wako kitandani ukawa ni duni, Athumani kichwa kidogo anachoka mapema. Lakini inawezekana ukatoka huko na ukarudi katika hali nzuri, mshirikishe mtu anayekuamini udhaifu huu na hapo ni hatua nyingine kubwa utakuwa umefanya pamoja na kuteketeza vyanzo vya picha au video za ngono na safisha simu yako na jifunze taratibu kujiamini kwa kuanza kufanya mazoezi ya kukimbia jioni au asubuhi mtaani.Mafanikio katika jambo lolote unahitajika kuwa mvumilivu na kuwa na bidii na ubunifu kila inapoitwa leo na jitahidi uwe na nidhamu ya fedha, weka akiba katika kidogo unachopata na kuwa na bajeti katika kila jambo.Bado mapema sana, kaza buti mtoto wa kiume.
INAWEZEKANA KURUDIA AU KUWA NA UJASIRI NA KUENDELEA NA MAISHA NA UTAFANIKIWA. "NO RETREAT NO SURRENDER, ALUTA CONTINUA".
Mimi ni muhanga hapa...Na hii inaweza kuwa sababu kwani tabia ya kujichua na kuangalia pornography hupoteza uwezo wa mtu kujiamini na kufikia hatua ya kujikataa sababu pia ni mlango wa roho chafu kuingia katika maisha ya mtu pamoja na mikosi ya kutosha na unaweza kujikuta unaoa au unaolewa na roho hizo chafu na katika suala la uzalishaji unakuwa mvivu sana kwani hata mwili na akili vinakuwa vinachoka. Kama una tabia hizo hapo juu kuna uwezekano hata utendaji wako kitandani ukawa ni duni, Athumani kichwa kidogo anachoka mapema. Lakini inawezekana ukatoka huko na ukarudi katika hali nzuri, mshirikishe mtu anayekuamini udhaifu huu na hapo ni hatua nyingine kubwa utakuwa umefanya pamoja na kuteketeza vyanzo vya picha au video za ngono na safisha simu yako na jifunze taratibu kujiamini kwa kuanza kufanya mazoezi ya kukimbia jioni au asubuhi mtaani.Mafanikio katika jambo lolote unahitajika kuwa mvumilivu na kuwa na bidii na ubunifu kila inapoitwa leo na jitahidi uwe na nidhamu ya fedha, weka akiba katika kidogo unachopata na kuwa na bajeti katika kila jambo.Bado mapema sana, kaza buti mtoto wa kiume.
INAWEZEKANA KURUDIA AU KUWA NA UJASIRI NA KUENDELEA NA MAISHA NA UTAFANIKIWA. "NO RETREAT NO SURRENDER, ALUTA CONTINUA".
Ukiamua unaweza kubadilika.Mimi ni muhanga hapa...