Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,020
1.
Nimekuwa na expectation nyingi, Maisha Hakuna Hata moja nimefanikiwa..nyumbani Maisha magumu sana Yaani nikiwaga Home ndo nachukia kabisa.Twende taratibu unahisi kwa nini unaogopa ku meet na watu kijana
MeTuanze hivi... We ni me ama ke
Mkuu yaani siwezi kabisa Yaani.Wakati wa jioni nenda kacheze mpira inasaidia kuondoa stress na kukuweka sawa.
Nimekuwa na matarajio mengi maishani na sijaweza kuyafikia hata na wala picha sinaTwende taratibu unahisi kwa nini unaogopa ku meet na watu kijana
Jifunze kuwa unatoka toka nyumbani unatembea tembea mtaani na wakati mwingine unakwenda kwenye viwanja vya michezo vya mtaani kwako, punguza kuangalia movie.Nimekuwa na expectation nyingi Maisha Hakuna Hata moja nimefanikiwa..nyumbani Maisha magumu sana Yaani nikiwaga Hom ndo nachukia kabisa
Mkuu yaani siwezi kabisa Yaani.
Sasa hapo ndio unazidi kujiharibia kabisa eti yaani unaogopa watu kukuona ukiwa huna mchongo, hebu jitahidi japo kuchanganyikana na watu maana ndio wana kila kitu unachokitaka wewe.Nimekuwa na matarajio mengi maishani na sijaweza kuyafikia hata na wala picha sina
Ingia huku upate ushauri Nilikimbia mjini maisha magumu, nimerudi kijijini yamenitandika zaidiMkuu yaani siwezi kabisa Yaani.