figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Hakuna kitu mbaya hapo mia,
Ni mkono umeteleza tu mia.
Basi samahani kwa usumbufu. Mi nikajua kuna tatizo. Mia
Hakuna kitu mbaya hapo mia,
Ni mkono umeteleza tu mia.
Kilicho nitisha ni huo ushemeji huku mnazima taa. Lakini kwa kuwa umeomba msamaha sina budi kuwa mpole na kukusamehe ili kudumisha mapenzi na wewe. Nakupenda sana mke wangu. Mmwaaaa.....!!!. mia
Love you too.........
my wii hivi UNDENIABLE umenionea wapi!!!!!!!
mara ya mwisho alisema anapatikana jukwaa la Siasa ila mbona simuoni kabisa!!!!!!!!
ukimuona umpe salam zangu
he deserved it
Passion Lady unalipwa mbon umbea
mume wangu sijaliwa achana nao nakupenda shaka ondoa
jama jama jama jama jama jama jama jama jama jamaaaaaaani mbona wantafutia majanga shosti mi niliomba wakunitoa upweke nikampata Excellent tulipiga nae hadithi sana na si vinginevyo Bishanga yeye alitaka kunihonga nyumba bila malipo,ila nikagundua ana porojo tu wake zake wenyewe wanalala kwenye mbavu za mbwa
naona unaonyesha mahaba mepesi mepesi... tisini
Love you too.........
UNDENIABLE ananifundisha tuition ya siasa, mwenzio siijui kabisaa nisije nikaaibika mjengoni 2015
Yes i hope unaanzaanza ku cop sasa na mabo ya mjengoni, usije mambo yataka sawa tu! mpe hi mke wangu @eaven on earth mwambie nimemmis sana!
hahahaha..kitu cha figganigga hichi...
sijamkana ni shemeji yangu tu kifanyio sikukiona kabisa,namuheshim ujue
mbona hiyo love u hakuambiwa yeye? Just kudakia tu