Nayamiss sana Mambo ya Mke wangu, Jamani!!


hasutwi mtu hapa
kwani uongo?mi nawahisha habari tu!!


si mkeo alitamka hadharani
ooooh eti ameamua kua na Bishanga pamoja na Excellent
kisa we umemtoroka hizo siku ngapi tu,acha kabisa
mengine mwambie Lady doctor kama anakumbuka ukwambie!!

jama jama jama jama jama jama jama jama jama jamaaaaaaani mbona wantafutia majanga shosti mi niliomba wakunitoa upweke nikampata Excellent tulipiga nae hadithi sana na si vinginevyo Bishanga yeye alitaka kunihonga nyumba bila malipo,ila nikagundua ana porojo tu wake zake wenyewe wanalala kwenye mbavu za mbwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom