Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Safi.inaeleweka
Dr. Magufuli alisema kuwa mji wa Moshi unachangamoto nyingi zinahitaji kutatuliwa, wamchague awe Rais arekebishe yaliyosahaulika na wakazi wa Mji huo maana mwakilishi wao aliyetangulia alikuwa mtokaji mzuri bungeni akiwafuata vijana bila kutambua anawaathiri wananchi wa mji wa Moshi.
Alisema Moshi hoyeeee, chagua Magufuli kuboresha mji wa Moshi, Mosha nikimaanisha mgombea ubunge wa jimbo la Moshi, Moshi-Mosha, Mosha-Moshi. Nileteeni Mosha Tufanye kazi mana kwangu Hapa ni Kazi Tu!
Lowassa atawatoa sana povu mwaka huu!!
Asante nitawahi na nyumba yangu na jirani.Rais ni Magufuli.Kuelewa Aidia ni suala lingine na kupiga kura ni suala lingine. Sasa wewe jumapili wahi kituo chako cha kupigia kura ili ukampigie kura Rais wetu mtarajiwa Magufuli.
nyumba za serikali kwa vimada?
Vimada na wazazi wenza (baby mamas). Mgombea urais ana vimada lukuki na watoto wa nje ya ndoa-Kenya paoja na mambo yao wasingeruhusu huu uchafu.
Vimada na wazazi wenza (baby mamas). Mgombea urais ana vimada lukuki na watoto wa nje ya ndoa-Kenya paoja na mambo yao wasingeruhusu huu uchafu.
Vimada na wazazi wenza (baby mamas). Mgombea urais ana vimada lukuki na watoto wa nje ya ndoa-Kenya pamoja na mambo yao wasingeruhusu huu uchafu.
hapa kaz tuu,ccm oyee
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
NIPO MOSHI HUYO MOSHA HAWEZ SHINDA HATA AOMBE KURA UCHI. By the way mji wa mosh hauna kero zaid ya mja ya wauza mitumba na tayar ndesa pesa kashajenga soko la kisasa maeneo ya kb. mosha hahitajiki moshi atafanywa alichofanyiwa mama minde subir j2
hakika magufuli atakuwa ndiye kiongozi na rais wa kutuvusha na kuondoa ombwe la rushwa na kuhakikisha maisha ya kia mtanzania yanasonga mbele
nyumba za serikali kwa vimada?