Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,597
- 22,338
- Thread starter
- #21
Hamna nyimbo Wala ubunifu hapa Kuna kelele na ujinga, we liache lipayuke watoto wadogo wanapiga hela kwa nyimbo nzuri bila kelele
=
''Hamna nyimbo Wala ubunifu hapa '', mmmH hivyo bora tukasikilize zile nyimbo 'zenu' za Paka mate iteleze! sio??, Ndio nyimbo zenye ubunifu.