Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Usalama wa Maisha yangu umekua Mdogo kwasasa, Wana panga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa kwenye hii Dunia. Nipo tayari kwa chochote wanacho panga kufanya Coz sijajipanga kupambana nao, Mimi ni Mwana Muziki si vingine. Kwa chochote kitachotokea Familia yangu itakua na chakuongea. Siwezi kuhama Nchi wala kukimbia nitafia hapa hapa. Na siko tayari kupindisha Chochote.! Nyie Ndo mtanilinda. Sina Mlinzi na sitarajii kua na mlinzi. OnlyGod
3aa28153b6cedf17c6f9e63fa8383489.jpg

[HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Truth[/HASHTAG]
Source: nay wa mitego kupitia ukurasa wake.
 
Back
Top Bottom