Naweze kumsindikiza mke wangu hospitali lakini kwa daktari anaingia mwenyewe.

Tatizo ukute daktari ambaye hajieshimu, ni kijana na hajaoa, na mgonjwa ni kabiti kanguvu kameumbika, ukivua tuu lazima aipekuepekue na kugagua kiwanja chote, hadi golini.Ukute aliwahi kukuombaga ukamnyima!
 
Inahitaji guts sio siri,kuna kipimo cha njia wakati wa ujauzito dah yani unamkuta jamaa yuko busy katumbukiza vidole huko mahala halafu ame concentrate anafumbafumba na macho kama vile anatafuta kitu flani huko

Pole Charger!Kumbe huwa inawapa shida eee?Yaani hiyo ndio fan yangu,sasa ulivyoelezea hicho kipimo natafsiri yako umenistua mno!Lengo pale nikujua njia imefunguka kiasi gani namtoto yuko hatua gani ktk kushuka!Hamna lazaidi napia nirisk mno maana kuna mipira mingine huwa inapasuka kutokana naubora!Sasa mimi nifani yangu-Unafikiri mkewangu akifikia hatua hiyo naonaje....?Hamna shaka kwakweli maana kama unamchukulia yule kama mgonjwa huwezi kupata msisimko wowote ule.
 
MNAONGELEA KUCHAGUA DAKATARI WA KIKE NA WA KIUME KAMA VILE MNA APPOINTMENT NA KUUMWA yani!mweh!
mimi kwa kweli huwa hata siangalii jinsia ya daktari mradi naumwa we nipe dawa,kama ni kupitia kutanua miguu ndo ujue ugonjwa wangu napanda kitandani bila wasiwasi!
ah we imagine umakamtwa na uchungu hapo hafu eti sitaki mkunga wa kiume nataka wa kike au una lihenia sijui unafika unasea sitaki wa kike au wa kiume!
kwangu mimi ikiwa ni issue ya kitababi huwa naamini hakuna jinsia!
na hata nikitaka mume wangu aingie ndani si kwa sababu ya ulinzi,hapana ni kwa sababu i jus wanna be with him in needy times!basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom