Nawezaje solve this?

Nawezaje solve this?

Hama, hama kaka tena fasta. Ninavyojua majumba ya kiswahili hapo ndo umewasha moto watakukalia vikao na kukuundia zengwe, ni bora tafuta nyumba yenye hadhi yako na uhamie, hapo ndo kwanza watakukalia rohoni sana

Dah, Hilo nalo neno
 
yani unawaza dogo! Acha hayo bwana.hapo ndo unamfundisha kuwa u must be strong ingawa kupuuzia ni jibu zuri.
Me mwenyewe nahisi uzalendo utanishinda hapa coz kuna ka-beki tatu naona kameanza kunitolea maneno yasiyo na adabu,na hii imeanza baada ya kuanza kumwo binti mzuri anaingia sn mwangu na anakuwa anajua kabisa napiga kazi.sasa kataumia siku nikiamua kukazaba.
Mkuu yani usiumize kichwa,hapo heshima tayari.

pa 1, xana mkuu
 
ndugu merengo m naona sawa ulivomcharaza uyo dada na mimi nasema akija tena mpige tu na mumewe akija mpige tu mana hamna namna sasa, mdomo wake mchafu tena apigwe tu.

Tandika xana huyo na me akijileta pigaa DOGO ATAVUMILIA 2
 
yani umempiga mume mbele ya mke..hyo umenunua vita..nachokushauri hama hapo..
alafu muda mwingine uwaze kabla hujatenda unanzaje kupigana na mwanamke ngoja aende polisi utaisoma namba..

Acha aende polix ila akileta fyongo tena TANDIKA 2
 
mwisho wa thread yake kahisi hao wapangaji wenzie wanamchukulia poa kwa kuhisi yeye ni dogo...ndo maana akasisitiza kwa kuweka mfano kuwa, 'kuna siku alikuwa kwenye gari na msichana, huyo msichana akakamatwa na trafic na ktk mazungumzo akaombwa rushwa, then akampa askari hela ndogo (hela ya soda) huyo askari akahitaji zaidi akimwambia huyo mdada kuwa amwambie yeye (mleta mada) aongeze hela, ndipo huyo dada akajibu akim-mention mleta mada kama 'dogo' kusisitiza hawezi kuwa na hela, na trafic akaona kuna logic (means alivyomwangalia mleta mada, akaona ni dogo kweli na hawezi kuwa na hela) so akawaacha waende! sasa seems ilimboa moyoni mleta mada...like..'mimi nina muonekano kama wa madogo!?'

umeelewa? hivi ndo nilivyoelewa mimi!

MKUU, Hapo Unahangaika na xhule za St.Kayumba
 
Jaribu kuwa mtu makini siku nyingne unaweza kupata kesi au hata kupigwa.... Ishi na watu kwa akili sana hasa wale wakorofi... Nyumba za kupanga hasa za uswahilin zna vmbwanga sana... Ni dharau sana kumpiga mke wa mtu mbele ya mume wake ningekuwa mm ungetupiga wote
 
mwisho wa thread yake kahisi hao wapangaji wenzie wanamchukulia poa kwa kuhisi yeye ni dogo...ndo maana akasisitiza kwa kuweka mfano kuwa, 'kuna siku alikuwa kwenye gari na msichana, huyo msichana akakamatwa na trafic na ktk mazungumzo akaombwa rushwa, then akampa askari hela ndogo (hela ya soda) huyo askari akahitaji zaidi akimwambia huyo mdada kuwa amwambie yeye (mleta mada) aongeze hela, ndipo huyo dada akajibu akim-mention mleta mada kama 'dogo' kusisitiza hawezi kuwa na hela, na trafic akaona kuna logic (means alivyomwangalia mleta mada, akaona ni dogo kweli na hawezi kuwa na hela) so akawaacha waende! sasa seems ilimboa moyoni mleta mada...like..'mimi nina muonekano kama wa madogo!?'

umeelewa? hivi ndo nilivyoelewa mimi!

Nafkiri ww utakuwa mwlim... Maana umeeleza mpaka vichwa vigum tumeelewa
 
Hapo naona Mume mtu ndo amekosa hekima!!

Anafahamu mkewe ana maneno ya shombo, katoa nguo za watu, anasikia akiulizwa bado anajibu hovyo.

Badala ange intervene kumtetea mkewe anakuja kuingilia ugomvi mwishoni.

Hata ingekuwa mimi ningetandika makofi.

Ila mi ningeenda a step further, ningeng'oa na kamba kabisa halafu niende kuleta kamba yangu mpya nikute mtu kaanika nguo namtafuna.

Watu wengine wanaboa sana, unaishi nao kistaarabu wanaleta shari.
 
Back
Top Bottom