Nawezaje solve this?

Nawezaje solve this?

Askari akili zenu finyu sana
ha ha ha ha ha ha ha
gwanda unaanika wiki nzima
ha ha ha ha ha ha
Kauli ya pinda inawadanganya nyinyi
 
merengo90

HaMaaa HuKo. NI aIbu mkuBwaa hiVyooo unaKaaaa nYuMbAaa za KuPaNga. TenAa na jiRanI mswAahIli hivyo.
HAmia MbEzi BeaCh upepO unapOvumA.
 
Last edited by a moderator:
Maandiko yanasema pia huwe kimya kama mienendo yao ikiwa si sahihi…?
Ni bora kunyamaza kuliko kubiishana na fool soma Proverbs utaelewa. Siku nyingine try to control ur anger unaweza pata murder case kuna watu unawaona wazima kumbe wanatembea na magonjwa yao ukimpiga kibao tu amekufa case itabaki kwako.
 
HaMaaa HuKo. NI aIbu mkuBwaa hiVyooo unaKaaaa nYuMbAaa za KuPaNga. TenAa na jiRanI mswAahIli hivyo.

HAmia MbEzi BeaCh upepO unapOvumA.

Kuna watu wamesoma, wanakaa sehem za ustaraabu lakin huwez change tabia zao.
 
Ni bora kunyamaza kuliko kubiishana na fool soma Proverbs utaelewa. Siku nyingine try to control ur anger unaweza pata murder case kuna watu unawaona wazima kumbe wanatembea na magonjwa yao ukimpiga kibao tu amekufa case itabaki kwako.

Aisee, sikuweka Moyoni maneno ya mama yangu kama methali isemavyo
 
Wewe naona unataka kubishana tayar una majibu kichwan mwako ambayo hutaki yakabadilishwa,wewe yatakiwa mwanamke akikuletea mdomo mdomo mtandike makofi jamaa ake nae akija mtandike makofi,askari wakija nao tandika makofi...

Piga tu,...
 
Yani unawaza dogo! acha hayo bwana.Hapo ndo unamfundisha kuwa u must be strong ingawa kupuuzia ni jibu zuri.
Me mwenyewe nahisi uzalendo utanishinda hapa coz kuna ka-beki tatu naona kameanza kunitolea maneno yasiyo na adabu,na hii imeanza baada ya kuanza kumwo binti mzuri anaingia sn mwangu na anakuwa anajua kabisa napiga kazi.Sasa kataumia siku nikiamua kukazaba.
Mkuu yani usiumize kichwa,hapo heshima tayari.
 
Poaa mkuu.
 
ilikuw trafic anatak mkwanja mrefu hasa binti akampa ya kunywa soda atauchie akidai hana pesa ingine, akaambiwa mwambie mwenzio huyo aongezee.
Binti akajibu, huyu mdogo wangu hana bana.

Yaani hadi hapa bado sikuelewi................
 
ndugu merengo m naona sawa ulivomcharaza uyo dada na mimi nasema akija tena mpige tu na mumewe akija mpige tu mana hamna namna sasa, mdomo wake mchafu tena apigwe tu.
 
Ulipaswa kuja kuomba msaada wakati ulipoanza kuzisikia chokochoko hizo mwanzoni kabisa.
 
Ni vema mkuu. Ila kuna baadhi ya mambo una paswa ku QN kama yakiwa si sawa.

Ungeomba ushauri wa mwenye nyumba na kumuomba azungumze nae mume wa huyo mama au kama haeleweki ungeongea na hata jirani mtu mzima mwenye akili zake.
Naelewa hiyo situation na sikulaumu sana kwa sababu kuna watu wanaudhi sana ila ungejaribu kujizuia kistaarabu ili umpe onyo kabla ya kureact, ingekuwa na uzito.
Sasa mfano akupe kesi sasa, itakuwaje?
 
yani umempiga mume mbele ya mke..hyo umenunua vita..nachokushauri hama hapo..
alafu muda mwingine uwaze kabla hujatenda unanzaje kupigana na mwanamke ngoja aende polisi utaisoma namba..
 
merengo90

Pole sana, lakini ujumbe umefika! Wamekuelewa hutaki masihara na kuonewa, watajirudi ila kuwa mwangalifu sana na mazingira yako, kuna uwezekano wa kulipiza kisasi! Nadhani mwanamke anataka attention yako, ni dhaifu kimaadili, muepuke! japo kaa kimya usijipendekeze kwao wala kuomba msamaha, watakuona mwoga una jazba na hasira usiyoweza kuidhibiti. Maudhi yakizidi, hama kwani Kunguru mwoga huponya mbawa zake. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
To be angry at the right time to the tight people is very right.
Usiwaze, wao ndio wamekukosea, wao ndio wanatakiwa kusikitika
 
mh! ila na sisi wanawake tunaboa! kwa midomo...kha! ofcz haukufanya poa kumpiga bt i understand, si kila mtu amejaaliwa neema ya kuvumilia ushuzi. Sltn ya kufanya, tafuta nyumba usepe ila kama hauna uwezo wa kupanga nyumba nzima, then panga yenye bachelors tu, coz kuna wenye nyumba wengi hawapendi kupangisha familia. Au tafuta zile nyumba zenye kama ki-servant quarter hv kinachojitegemea kwa vitu vya msingi, ambapo utakaa hapo na kutulia. Shirikisha madalali ili kuharakisha zoezi

-kuh wewe kuonekana kama mdogo kiumri, inategemea na mavazi yako na jinsi unavyo-behave, watu unaoambatana nao nk. So fanyia kazi hayo maeneo.
-Kuh mdogo wako- umesema naye hupata kero za huyo mmama, so hawezi kushangaa kwa ulichofanya ILA umweleze kuwa umekosea na hutegemei naye arudie hilo kosa, ukimweleza complication ambazo zaweza kutokea km kupelekana serikali za mitaa au polisi nk.
 
mh! ila na sisi wanawake tunaboa! kwa midomo...kha! ofcz haukufanya poa kumpiga bt i understand, si kila mtu mwenye neema ya kuvumilia ushuzi. Sltn ya kufanya, tafuta nyumba usepe ila kama hauna uwezo wa kupanga nyumba nzima, then panga yenye bachelors tu, coz kuna wenye nyumba wengi hawapendi kupangisha familia. Au tafuta zile nyumba zenye kama ki-servant quarter hv kinachojitegemea kwa vitu vya msingi, ambapo utakaa hapo na kutulia. Shirikisha madalali ili kuharakisha zoezi

-kuh wewe kuonekana kama mdogo kiumri, inategemea na mavazi yako na jinsi unavyo-behave, watu unaoambatana nao nk. So fanyia kazi hayo maeneo.
-Kuh mdogo wako- umesema naye hupata kero za huyo mmama, so hawezi kushangaa kwa ulichofanya ILA umweleze kuwa umekosea na hutegemei naye arudie hilo kosa, ukimweleza complication ambazo zaweza kutokea km kupelekana serikali za mitaa au polisi nk.

Umesema vema sana, mkuu.
Ila hapo kwenye mavazi nipo sawa navaa kwa kujitambua sana, nipo smart way navyo behave, ila i think naonekan younger than my age
 
Yaani hadi hapa bado sikuelewi................

mwisho wa thread yake kahisi hao wapangaji wenzie wanamchukulia poa kwa kuhisi yeye ni dogo...ndo maana akasisitiza kwa kuweka mfano kuwa, 'kuna siku alikuwa kwenye gari na msichana, huyo msichana akakamatwa na trafic na ktk mazungumzo akaombwa rushwa, then akampa askari hela ndogo (hela ya soda) huyo askari akahitaji zaidi akimwambia huyo mdada kuwa amwambie yeye (mleta mada) aongeze hela, ndipo huyo dada akajibu akim-mention mleta mada kama 'dogo' kusisitiza hawezi kuwa na hela, na trafic akaona kuna logic (means alivyomwangalia mleta mada, akaona ni dogo kweli na hawezi kuwa na hela) so akawaacha waende! sasa seems ilimboa moyoni mleta mada...like..'mimi nina muonekano kama wa madogo!?'

umeelewa? hivi ndo nilivyoelewa mimi!
 
Umesema vema sana, mkuu.
Ila hapo kwenye mavazi nipo sawa navaa kwa kujitambua sana, nipo smart way navyo behave, ila i think naonekan younger than my age

basi, sio vibaya! wenzako wanafanya hadi upasuaji ili waonekane vijana...mshukuru Mungu kwa huo muonekano. Binafsi sioni kama ni tatizo.
 
Wewe naona unataka kubishana tayar una majibu kichwan mwako ambayo hutaki yakabadilishwa,wewe yatakiwa mwanamke akikuletea mdomo mdomo mtandike makofi jamaa ake nae akija mtandike makofi,askari wakija nao tandika makofi...

AKHAXANTE MKUU Nimependa hii, ime2lia.
 
Back
Top Bottom