Nawezaje pata personal contacts za prof. Anna tibaijuka

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,705
natafuta jinsi ya kuweza kuwasiliana directly na huyu mama kwasababu nina project nataka fanya inahusiana na mazingira. Sasa nahitaji msaada wake na nihisi nikijaribu wasiliana naye kupitia njia za wizara nadhan ujumbe wangu unaweza usimfikie. kama kuna mtu mwenye email au namba yake ya simu tafadhali naomba anisaidie.
 
Pia muelezee kuhusu ile sheria ya kuendeleza maeneo watu hawaifati wanatuwekea mapori tu hawayaendelezi kama vp wanyan'anywe kama sheria inavyosema
 
Back
Top Bottom