asante sana kaka! hiyo inaweza kugharimu sh ngapi? na hapa Dsm naweza kupata wapi?Kuna kitu flan kinaitwa mota (geneleta) yaana nimota ambayo ikizunguka inafua umeme chakufanya nunua mota hiyo yakufua umeme na nunua na machine ya kichina piston moja HP 24 hiyo itakuwa kwaajili ya kuizungusha hiyo mota ili iweze kukufulia huo umeme unaoutaka mota hizo zinatofautiana mkubwa zipo had 15 k w
unaeza tumia solar japo ni ghali ila running cost ni ndogo sana,nicheki kama upo tayari nikupe misingisalaam
wanajamii naomba kujua naweza zalisha vip umeme wa 8 Kw kama nipo sehemu ambapo hamna umeme wa tanesco? nataka kuwashia fridge
mimi nilikuwa nawaza kama kutumia betri ya gari au jenereta! ila sina uhakika kama ni njia sahihi
Mkuu solar ya kuwasha friji na video na sabufa hometheatre ipo? Je ni bei ganiunaeza tumia solar japo ni ghali ila running cost ni ndogo sana,nicheki kama upo tayari nikupe misingi
asante sana kakaNakuhusu utavipata wap nenda kwenye maduka makubwa yavifaa vya umeme hasa wanapouzia majeneleta mm mwenyewe nilinunua mota 15kw kwa sh 1000000\=
Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generatorKuna kitu flan kinaitwa mota (geneleta) yaana nimota ambayo ikizunguka inafua umeme chakufanya nunua mota hiyo yakufua umeme na nunua na machine ya kichina piston moja HP 24 hiyo itakuwa kwaajili ya kuizungusha hiyo mota ili iweze kukufulia huo umeme unaoutaka mota hizo zinatofautiana mkubwa zipo had 15 k w
Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generator
mi sikujuaga kuwa motor huzalisha umeme,au kuna jina la kiitalaamu tukamuulize mr google?Nakuhusu utavipata wap nenda kwenye maduka makubwa yavifaa vya umeme hasa wanapouzia majeneleta mm mwenyewe nilinunua mota 15kw kwa sh 1000000\=
Motor inazalisha umeme mkuu iwapo tu ina sumaku ya kudumu. Kwa hiyo huyo bwana kama anataka kuwasha ni lazima anunue hiyo. Tena hapo atapata umeme wa DC. Kama ni AC itabidi aubadilishe kwa inverter au atafute generator ya kuzalisha AC directly.Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generator
Kimsingi, anachozungumzia Benjamin mathayo ni kinu cha kufua umeme (Kwenye baiskeli tunaita dynamo). Hicho kifaa kinafanana na Motor ila matumizi yanatofautiana, Motor inahitaji umeme ili iweze kuleta mzunguko, alternator ambacho kinahitaji kuzungushwa ili kizalishe umeme.
View attachment 361344
Motor haizalishi umeme bali inahitaji umeme (power) ili kuzalisha mechanical energy(Revolution)Motor inazalisha umeme mkuu iwapo tu ina sumaku ya kudumu. Kwa hiyo huyo bwana kama anataka kuwasha ni lazima anunue hiyo. Tena hapo atapata umeme wa DC. Kama ni AC itabidi aubadilishe kwa inverter au atafute generator ya kuzalisha AC directly.
Mkuu DC Motor ukiizungusha inazalisha umeme.Motor haizalishi umeme bali inahitaji umeme (power) ili kuzalisha mechanical energy(Revolution)
Dc motor haiwezi kujizungusha yenyewe Maana ya motor ni Kifaa kinacho convert electrical energy into mechanical na Generator ni vise versa usichanganyeMkuu DC Motor ukiizungusha inazalisha umeme.
Una uhakika???Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generator
Sio lazima sumaku ya kudumu, zipo externally excited alternator.Motor inazalisha umeme mkuu iwapo tu ina sumaku ya kudumu. Kwa hiyo huyo bwana kama anataka kuwasha ni lazima anunue hiyo. Tena hapo atapata umeme wa DC. Kama ni AC itabidi aubadilishe kwa inverter au atafute generator ya kuzalisha AC directly.
Motor na generator ni kitu kile kile the only difference ni which comes in and which comes out.Motor haizalishi umeme bali inahitaji umeme (power) ili kuzalisha mechanical energy(Revolution)