Nawezaje kuzalisha umeme wa 8Kw?

Bac3

Senior Member
Apr 21, 2016
129
68
Salaam
Wanajamii naomba kujua naweza zalisha vipi umeme wa 8 Kw kama nipo sehemu ambapo hamna umeme wa TANESCO?

Mimi nilikuwa nawaza kama kutumia betri ya gari au jenereta ila sina uhakika kama ni njia sahihi.

Nataka kuwashia fridge.
 
Kuna kitu flan kinaitwa mota (geneleta) yaana nimota ambayo ikizunguka inafua umeme chakufanya nunua mota hiyo yakufua umeme na nunua na machine ya kichina piston moja HP 24 hiyo itakuwa kwaajili ya kuizungusha hiyo mota ili iweze kukufulia huo umeme unaoutaka mota hizo zinatofautiana mkubwa zipo had 15 k w
 
asante sana kaka! hiyo inaweza kugharimu sh ngapi? na hapa Dsm naweza kupata wapi?
 
salaam
wanajamii naomba kujua naweza zalisha vip umeme wa 8 Kw kama nipo sehemu ambapo hamna umeme wa tanesco? nataka kuwashia fridge
mimi nilikuwa nawaza kama kutumia betri ya gari au jenereta! ila sina uhakika kama ni njia sahihi
unaeza tumia solar japo ni ghali ila running cost ni ndogo sana,nicheki kama upo tayari nikupe misingi
 
Mota hiyo kwa hapo dsm inaweza kugalimu 800000\= mashine 800000/=mita yakupima umeme itakuwa 30000/= waya na vitu vingine pamoja nakuifunga inaweza kukugalimu 2500000/=hapo weka filiji, weka mziki mkubwa tv zakutosha hakuna shida nimwendo mdundo tu
 
Nakuhusu utavipata wap nenda kwenye maduka makubwa yavifaa vya umeme hasa wanapouzia majeneleta mm mwenyewe nilinunua mota 15kw kwa sh 1000000\=
 
Kuna kitu flan kinaitwa mota (geneleta) yaana nimota ambayo ikizunguka inafua umeme chakufanya nunua mota hiyo yakufua umeme na nunua na machine ya kichina piston moja HP 24 hiyo itakuwa kwaajili ya kuizungusha hiyo mota ili iweze kukufulia huo umeme unaoutaka mota hizo zinatofautiana mkubwa zipo had 15 k w
Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generator
 
Kimsingi, anachozungumzia Benjamin mathayo ni kinu cha kufua umeme (Kwenye baiskeli tunaita dynamo). Hicho kifaa kinafanana na Motor ila matumizi yanatofautiana, Motor inahitaji umeme ili iweze kuleta mzunguko, alternator ambacho kinahitaji kuzungushwa ili kizalishe umeme.

dynamo1.gif
upload_2016-6-30_8-30-30.jpeg
 
Nakuhusu utavipata wap nenda kwenye maduka makubwa yavifaa vya umeme hasa wanapouzia majeneleta mm mwenyewe nilinunua mota 15kw kwa sh 1000000\=
mi sikujuaga kuwa motor huzalisha umeme,au kuna jina la kiitalaamu tukamuulize mr google?
 
Motor haizalishi umeme na ni differ kabisa na generator
Motor inazalisha umeme mkuu iwapo tu ina sumaku ya kudumu. Kwa hiyo huyo bwana kama anataka kuwasha ni lazima anunue hiyo. Tena hapo atapata umeme wa DC. Kama ni AC itabidi aubadilishe kwa inverter au atafute generator ya kuzalisha AC directly.
 
Kimsingi, anachozungumzia Benjamin mathayo ni kinu cha kufua umeme (Kwenye baiskeli tunaita dynamo). Hicho kifaa kinafanana na Motor ila matumizi yanatofautiana, Motor inahitaji umeme ili iweze kuleta mzunguko, alternator ambacho kinahitaji kuzungushwa ili kizalishe umeme.

dynamo1.gif
View attachment 361344

Yeah mkuu uko sawa ila usichanganye alternator na Dynamo ni Genset zote ila construction ni tofauti na hio Generator anayoisema mkuu mathayo ni Ac au Dc gen?
 
Motor inazalisha umeme mkuu iwapo tu ina sumaku ya kudumu. Kwa hiyo huyo bwana kama anataka kuwasha ni lazima anunue hiyo. Tena hapo atapata umeme wa DC. Kama ni AC itabidi aubadilishe kwa inverter au atafute generator ya kuzalisha AC directly.
Motor haizalishi umeme bali inahitaji umeme (power) ili kuzalisha mechanical energy(Revolution)
 
Sio lazima sumaku ya kudumu, zipo externally excited alternator.
 
Motor haizalishi umeme bali inahitaji umeme (power) ili kuzalisha mechanical energy(Revolution)
Motor na generator ni kitu kile kile the only difference ni which comes in and which comes out.
Ukiichukua alternator ukaipa enough toque itazalisha umeme.
Ukichuukua alternator hiyo hiyo ukaipa eneough ac power itakupa mechanical output(revolution)
The only additional thing ni kwamba itakuhitaji additional device kama incerter au commutator set kuibadili hiyo dc to ac.
 
Ila ifahamike kuwa ukizungumzia neno generator ni compound noun inayowakilisha (alternator + prime mover)
Ila kinachofanya ifanane na motor ni hiyo alternator kwa sababu they have the same design theory.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom