sasa ili kuiweka hapa jf kuna njia mbili rahisi...wakati unaandika post yako kwenye hiyo sehem ya kuandikia kwa juu pale utaona kuna vi icon mbalimbali ikiwemo ya image na nyingine kwa ajili ya attachment..unaweza kutumia yoyote kati ya hizo...ukiclick mfano pale kwenye icon ya image itakuletea window ya kukutaka ku upload picha yako either kutoka online kwa kuweka url au kui upload direct from computer yako..njia ya pili ni hiyo ya attachment ambayo una click pale kwenye icon ya attachment then itakuletea window ina maelekezo yote jinsi ya ku attach picha yako!!