Nawezaje kuupdate Chrome?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu hii app kwenye simu yangu huwa haikubali kuupdate kabisa japo huwa inanipa taarifa kuwa kuna new update.

Naomba kujulishwa km kuna namna ya kufanya zaidi.
 
Back
Top Bottom