Nawezaje kutumia Bluetooth na wired headphone kwa pamoja kupitia simu

Teknolojia ya mawasiliano imekuwa mno ila haijafikia uwezo huo. Sijawahi kusikia kama linawezekana hilo ila Mungu ameliwezesha kwa binadamu kukojoa na kunya at per 😂
Habari;

Tuseme mfano nahitaji kuskiliza mziki.

ninachoskiliza kwenye headphone kiskike vile vile kwenye Bluetooth speaker kwa pamoja.
kelphin, Extrovert na wadau wengine karibuni.
 
Habari;

Tuseme mfano nahitaji kuskiliza mziki.

ninachoskiliza kwenye headphone kiskike vile vile kwenye Bluetooth speaker kwa pamoja.
kelphin, Extrovert na wadau wengine karibuni.

View: https://youtu.be/AF468m6ECRw
Screenshot_20240122-133147.jpg
 
Habari;

Tuseme mfano nahitaji kuskiliza mziki.

ninachoskiliza kwenye headphone kiskike vile vile kwenye Bluetooth speaker kwa pamoja.
kelphin, Extrovert na wadau wengine karibuni.
Haiwezekani mtu ukojoe kwa mipira (Catheter)wakati huo huo ukojoe kwa mtimdo wa kawaida.

Unakoelekea wewe utataka utumie bluetooth, earphones na speaker ya simu pia.
 
Back
Top Bottom