Wakuu napenda kufahamu
Niliagiza mzgo wangu wa simu kwa kutumia FedEx kwa matumizi yangu. Nimejarbu kuwapelekea invoice kwa sababu unahitajika kufanyiwa clearance ila inaonekana gharama ni kubwa Sanaa mara pesa ya clearance agent km kilo na nusu na bado wanahitaji tin number , bado custom na tax ili mzgo utoke
So mwenye uzoefu ushauri wenu
Na ni kampuni gani ambayo naweza kutumia kuagiza kutoka mataifa ya ulaya na USA wanafanya kabsa clearance na hakuna usumbufu km huu ulojitokeza?
Maoni yenu na ushauri