deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Nina 1TB external HDD ya Toshiba baada ya wiki moja kuinunua MBR ikawa damaged na software nyingi za ku Rebuild zinauzwa online, pia nimejaribu kwa kutumia command line imekuwa ngumu.
Kuna mtu ambaye ameshawahi kupata hili tatizo akafanikiwa ku fix MBR
Kuna mtu ambaye ameshawahi kupata hili tatizo akafanikiwa ku fix MBR