Nawezaje kutengeneza billing software kwa excell? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawezaje kutengeneza billing software kwa excell?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kichwa Ngumu, May 17, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hi JF members, ninauelewa wa kati kwa kutumia excel MS na nimeshawahi kusikia kuwa its possible to make software using excel MS, wadau naweza kupata notice/ maelekezo ya kutosha ili kutengeneza billing software.
  Don' Say, if your is not the need of the listener.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kuongezea link uliyopewa hapo juu
  Nenda pia Microsoft wana templates nyingi za mambo ya Accounts iwe ni invoice, billing etc . Kulingana na aina unayotaka utapata

  Mfano kwa blling hii inaweza kukufaa au unaweza kuichakachua iendane na mahitaji yako Billing statement - Templates - Office.com

  Otherwise just make google your best friend
   
Loading...